JIONEE PICHA JINSI MWANA DAR ES SALAAM ALI KIBA ALIVYOPIGA SHOW UZINDUZI WA TAMASHA LA SAUTI ZA

Ali Kiba akilishambulia Jukwaa wakati wa onesho lake la ufunguzi wa Tamasha la Busara lililojaza Jana Viwanja vya Ngome Kongwe Zenj na kuwavutia wageni wengi waliofika katika viwanja hivyo akipiga mziki laivu

AliKiba akifanya vyake katika jukwaa la Tamasha la Sauti za Busara Zenji jana Usiku

Wapenzi a muziki wakiwa katika viwanja vya Ngomekongwe wakifuatilia Tamasha hilo wakati wa Msanii wa kizazi kipya Ali Kiba akifanya vitu vyake jukwaani jana usiku wakati wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar
Previous
Next Post »