Maua Sama Featuring Ben Pol - This Love (Official Video)

Hatimaye mwimbaji Maua Sama ametoa video kwa mara ya kwanza, licha ya kuwa hadi sasa ana nyimbo tatu alizokuwa ameziachia bila kuwa na video. Video hii ni ya wimbo wake mpya uitwao ‘This Love’ aliomshirikisha mkali wa R&B Ben Pol. Video imeongozwa na Hanscana.
Previous
Next Post »