Akizungumzia tukio hilo, Odama alisema kama rafiki yake kipenzi aliguswa kumfanyia kitendo hicho hivyo akashirikiana na aliyekuwa mpenzi wa marehemu, George Saguda, wakajengea kaburi.
“Recho alikuwa ndiyo kila kitu kwangu, alikuwa msiri wangu. Hivyo nimeona ni vyema tukalistiri vizuri kaburi lake na kwa msaada wa Saguda, nashukuru Mungu tumefanikisha kwa kiasi fulani, tutaendelea kulijenga zaidi.”
ConversionConversion EmoticonEmoticon