Mbasha amtaka mke wake.. u heard!

Mbasha ni mwanaume mwenye moyo wa ajabu baada ya kufanyiwa yote na mke wake bado amtaka tena warudiane na walee mtoto wao afunguka kwa mwandishi mmoja kuwa bado anampenda mke wake na yupo tayar kurudiana"frola mama nakupenda" hivi ungekuwa wewe ungefanya nin? ni swali la  kujiuliza.








Previous
Next Post »