MSHIRIKI wa Tanzania aliyebaki ndani ya jumba la Big Brother, Idris ambaye ni mpiga picha kutoka jijini Arusha, ameshinda kuwa kiongozi wa jumba hilo 'Head of House' wiki hii.
Katika shindano aliyepiga mpira mara chache zaidi ndiye aliyeibuka mshindi na kumpa faida ya kutokuchaguliwa kutoka ndani ya jumba hilo kwa wiki ijayo.
ConversionConversion EmoticonEmoticon