Showing posts with label Bongoclassictz. Show all posts
Showing posts with label Bongoclassictz. Show all posts

Rais Kikwete Aombwa Kutoupitisha Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandaoni, 2015 ....Ombi Hili Limetolewa Na Chama cha Bloggers Tanzania (TBN)

Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jaka...
Read More

Mtangazaji Charles Hillary Anyakuliwa na Kituo cha AZAM TV Kutoka BBC..Sasa Kurudi Tanzania

Ngome ya kituo cha Azam TV inaendelea kuimarishwa, baada ya kuzinduliwa kwa studio kubwa na za kisasa za kituo hicho zilizogharimu zaidi ...
Read More

Mbasha: "Gwajima Mungu Amenilipa, Njoo Uniombe Msamaha Tumalize Ugomvi"

Licha ya Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kukanusha mara zote kwamba, hahusiki na kusambaratika kwa ndoa ya Mwimba...
Read More

'Hatuko Tayari Kuzibwa Midomo Tunamtaka Lowassa Agombee Urais 2015' Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu Jijini Mwanza

Shinikizo la kumshawishi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuchukua fomu ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu Oktoba, mwaka huu, l...
Read More

Adam Mchomvu wa Clouds FM apata Scholarship ya kwenda kusoma China

Mtangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, Adam Mchomvu ni mmoja kati ya wabunifu wa mavazi wachanga watakaopelekwa na THT nchini China ...
Read More

Gwajima Atoa Video Nyingine Yenye Maneno Yenye Utata, Angalia Hapa.

Gwajima Akiwa kwenye Kitu cha Wagonjwa Anaonekana Kwenye Video Akitoa Maneno yenye utata kumsema mtu kwa Mafumbo ..embu angalia hapa chini...
Read More