Jambo bongo movie! Naitwa gloria, ni mukongomani naye ishi south
africa. Napenda sana kazi zenu, tena sana..... Nawapendeni wote. Nina
ombi moja, ninge penda muwa unganishe wasani wema sepetu,na kajala.
Ahhhhh mimi nawapenda sana, na kila mara ninapo soma kwenye mitandao
bifu yao iki endelea ahhhh roho ina niuma sanaaaaa. Naomba
wema,amusamehe kajala. Hakuna bina damu aliye kamilika, wote tuna
jaribiwa, lakini njia mbadala yaku shinda hayo niku samehe tu kwa moyo
mukudjufu, maana hata biblia ina tuomba kusamehe wengini 7*70. Jo kuishi
kwa utakaso.... Ijapo kuwa usani, ila tujuwe kuishi uchristu. Najuwa
ombi langu lita fika. Peace and love bongo movie.
Bongoclassictz
udaku
Roho Inaniuma Sana Naomba Wema Sepetu Umsamehe Kajala..Hakuna Binadamu Aliyekam
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon