Baada Ya Mtoto Wake Kukamatwa Na Bangi,Jackie Achukua Hatua Kulinda Familia Yake.

Miezi michache iliyopita sammisago.com iliripoti tukio la mtoto wa Jackie Chan kukamatwa na Dwa za kulevya, Jipya ni kwamba mwigizaji huyu maarufu kutoka China Jackie Chan ameomba vyombo vya habari kuwa waangalifu na kujali wanachoandika kuhusu mtoto wake kukamatwa na dawa hizo sababu wanaumiza familia yake na mama yake pia. 


Mtoto wa J Chan 'Jaycee Chan' alikukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi[Marijuana] ndani ya nyumba yake,kitendo kilichokuwa aibu kwa Baba yake Jackie Chan ambaye alikuwa balozi wa kupinga matumizi ya dawa za kulevya mnamo mwaka 2009.
Previous
Next Post »