icha,Nicki Minaj Afanya Video Ya 'Only' Drake Na Lil Wayne Wapo,Chris Brown Je ? ,Yote Hapa

Rapper Nicki Minaj aliyechukua vichwa vya habari hivi karibuni baada ya cover la wimbo wake wa Anaconda kuwa gumzo mtandaoni yupo tayari kutoa video nyingine kabla ya mwisho wa mwaka huu. 

Nicki ameanza kufanya video ya wimbo wake "Only" ambao humo tunasikia sauti ya Drake, Lil Waye na Chris Brown. Wimbo huu upo kwenye album ya tatu ta Minaj inayoitwa "The PinkPrint" inayotarajiwa kutoka December 15.

Kwenye hizi picha Chris Brown hajaonekana, je hayopo kwenye video ?  hataki kuwa sehemu moja na Drake ?  ni maswali yanayosubiri majibu. 

Comment juu ya hii stori mwanangu niweke pale chini, Pamoja sana.
 
 
 
 
 

Previous
Next Post »