BRAND NEW VIDEO FROM DIAMOND PLATNUMZ-NITAMPATA WAPI HII HAPA......!!!

.
Alhamisi ya Nov 20 Diamond Platnumz  ameibariki siku hii kwa kuachia video na audio ya wimbo wake mpya unaoitwa Nitampata wapi,kwenye radio station,tv na kwenye mitandao.
Video hii ambayo kwa mara ya kwanza ilianza kuonyeshwa Nov 19 kupitia kituo cha MTV BASE,kama hukufanikiwa kuiona unaweza kuiona kwa kubonyeza play hapo chini.
Wale wa Diamond,kawaletea video hii mpya
Previous
Next Post »