Ja Rule Kurudi Kwenye Muziki 2015.

ja-rule
Rapper Ja Rule ambaye amekuwa kimya kwenye muziki baada ya kutoka jela amezunumzia uwepo wa album mpya mwaka 2015. Kwenye interview aliyofanyiwa hivi karibuni Ja Rule amesema “ Nina album kama tatu ambazo ziko tayari na nitaanza kutoa single 2015, sitatoa album nzima mapema
Hivi karibuni Ja Rule aliimbwa kwenye wimbo wa Asap Ferg aliofanya na Big Sean uliopewa jina “Ja Rule ” , alipoulizwa kuhusu single hii alisema ” Ni mapenzi ya ukweli huyu jamaa kaonyesha, nilifurahishwa sana na kazi yao wote wawili

Ni haki yako mtu wangu wa nguvu kupata habari kutoka kwangu naombeni ushirikiano wetu...follow us on facebook page as bongoclassic like our page tuwe pamoja on instagram pia tunatumia jina la bongoclassictz....! one love
Previous
Next Post »