ALIYEKUWA MUME WA SHAMSA FORD ALIPIZA KISASI, AMWAGIA SIFA SIWEMA ALIYEKUWA MCHUMBA WA NAY WA MITEGO KUMUUMIZA SHAMSA

Mume wa Shamsa Ford, Dicky ametumia ukurasa wake wa Instagram kumwagia sifa aliyekuwa mpenzi wa Nay Wa Mitego, Siwema.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya aliyekuwa mke wa Dicky, muigizaji

Shamsa Ford kuonekana kwenye picha zilizosambaa mtandaoni akimbusu Nay wa Mitego!Hivyo anachokifanya Dicky kwa sasa ni kulipiza kisasi kwa Nay aliyemchukulia mke wake!
Previous
Next Post »