Nimeshakuwa mental na wish ungekuwepo yeah u heard!!!!!!!!!!!!!!!!


Jux aelezea hisia zake kupitia nyimbo ya nitasubiri kutokana kuwa mbali mrembo wake huyo anayefahamika kwa jina la Jackline pamoja na kutupiwa skendo cha kukutwa na madawa ya kulevya mwanadada huyo kule china lakin haiwez kubadilisha mapenzi yao u heard!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!



Photo: Brand New Single: Jux amuimbia mpenzi wake Jackie Cliff "Nitasubiri".

Chini ya producer Bob Maneck, Jux amefanikiwa kuweka hisia zake kwenye beat na kuzungumza jinsi ambavyo anampenda na jinsi alivyokuwa akijiskia kuwa mbali na mpenzi wake Jacky Cliff mara baada ya madai kuwa alikuwa amekamatwa nchini China.




Previous
Next Post »