Basi la Moro Best baada ya ajali hiyo mbaya.…
Majeruhi wakiwa wamelala na kukaa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Pandambili.
aadhi ya majeruhi wa ajali wakipelekwa Hospitali ya Mkoa Dodoma huku wengine wakipelekwa Hospitali ya Mpwapwa.
TAKRIBANI watu 20 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Pandambili, Kongwa mkoani Dodoma leo. Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa Dodoma huku wengine wakipelekwa Hospitali ya Mpwapwa.
ConversionConversion EmoticonEmoticon