Baadhi za picha katika up comming video ya proff j&diamond pamoja na p-funk -kipi sijasikia hebu zicheki..

51prfj
Mwanzoni wakati zinasambaa picha za Diamond akiwa na Profesa Jay watu wengi tulikua tukijiuliza aina ya muziki ya muziki unaotaka kufanywa na wawili hawa ambao kwa hesabu ya haraka haraka tulishindwa kujua kama utakua muziki wa hip hop au wakuimba kama aufanyao Diamond.
Wimbo ulipotoka kila mtu alielewa kilichozungumzwa na Profesa Jay hasa upande wa mashairi akitoa ushuhuda wa maisha yake ambayo yameongelewa mengi mpaka hapo alipo kiasi cha kuuliza ‘Kipi Sijasikia’
Video yake imeanzwa kutengenezwa July 12 ikimhusisha pia Super Producer wa wimbo huu P.funk Majani ambaye kwa video hii kasimama kama wakili pamoja na Diamond Platnumz upande wa pili.
Video hii inaongozwa na Adam Juma kutoka Next Level,baadhi ya vipande wakati video hii ikifanywa ni hivi.

54prfj

52prfj
47prfj
46prfj
45prfj
44prfj
41prfj
33prfj
36prfj
37prfj
39prfj
31prfj
28prfj
23prfj
22prfj
12prfj
27prfj
Previous
Next Post »