Comming soon video ya barnaba-wahalade check baadhi za picha ya video hiyoo.

4brnb
6brnb
5brnb
3brnb
2brnb
1brnb

Video hii imefanyika kwenye ardhi ya Uhuru Kenyata 254 na imeongozwa na Director Nick Dizo ambaye pia kashiriki kuziongoza video kadhaa za Bongo Fleva ikiwemo Nishike Mkoni ya D knob.
Barnaba katanguliza picha hizi ambazo zinaashiria kukamilika kwa video ya wimbo huo.

Previous
Next Post »