
Kuna tetesi kuwa Edward Lowassa anatarajia kuanza kampeni ya kutangaza nia waziwazi baada ya kuona January Makamba amefanya hivyo wakati ni miongoni mwa waliopewa karipio kali na CCM kwa kampeni za kabla ya wakati muafaka na hajachukuliwa hatua yoyote. Pia ameona Membe akitumia UVCCM kuimarisha kambi yake harakati za kinyang'anyiro cha urais 2015
ConversionConversion EmoticonEmoticon