Picha za Futari ya pamoja iliyoandaliwa na THT sambamba na uzinduzi wa Video mpya ya msanii Linah it was awesome plz look..!!

51lnh
Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni mwezi unaotumiwa na Waislamu kutubu makosa na kumuomba Mwenyezi Mungu aweke wepesi kwenye kila hatua waipigayo ingawa pia hutumiwa na baadhi ya waislamu kufuturisha.
Kituo cha THT leo kimefuturisha Watu mbalimbali wakiwemo watu maarufu kutoka nyanja mbalimbali Tanzania waliokutana na kufuturu pamoja.
Mkusanyiko pia wa pamoja katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan utakuwa wa 4 kwa watu maarufu ,baada ya ule wa kwanza alioufanya Diamond Platnumz akifuatiwa na Wema Sepetu kisha Shilole na sasa ni THT.
Mbali na futari hiyo pia THT imetumia nafasi hiyo kumuaga rasmi Linah baada ya kupata uongozi mpya nafasi pia iliyotumika kuizindua video yake pamoja na audio aliyoipa jina la Ole Themba.
Baadhi ya picha za futari ni hizi.
136lnh
135lnh
134lnh
133lnh
131lnh
130lnh
109lnh
110lnh
114lnh
116lnh
117lnh
102lnh
97lnh
92lnh
90lnh
85lnh
84lnh
70lnh
74lnh
76lnh
77lnh
78lnh
83lnh
66lnh
59lnh
56lnh
55lnh
28lnh
38lnh
49lnh
22lnh
18lnh
15lnh
9lnh

Previous
Next Post »