Umeipata hii ya Izzo B ampa kichapo msanii wa underground... u heard...!!

IZZO
Taarifa kutoka Iringa mwishoni mwa wiki iliyopita zinasema kuwa rapa kutoka 87.8 Mbeya  Izzo B amempiga underground ambaye nae ni kutoka hukohuko Mbeya ambaye walikutana Iringa,Soudy Brown amekuja na taarifa kuhusu hii inshu.
Previous
Next Post »