Ma super stars wenye majina makubwa kuliko umri wao , Lulu Michael na Faiza haider wamejikuta waki share Birthdays zao mwezi mmoja, Siku moja na tarehe moja yaan 16/4. Wawili ambao ambao licha ya Ku share birthdays zao unaambiwa wamefanana karibia kila kitu , mavazi yao, mionekano yao hata umri pia haipishani sana.
Lulu Michael ambaye amejipatia umaarufu kupitia fani ya uigizaji , Faiza haider naye amejipatia umaarufu huo kupitia utangazaji ambao hata lulu naye alianzia uko, hata wenyewe pia wanajiita mapacha uko mitaani..
ConversionConversion EmoticonEmoticon