Chris Brown ametoa video mpya akiwa na Usher & Rick Ross – New Flame

breez
Baada ya ku-tease kwamba video ya New flame itatoka muda wowote, hatimaye imetoka na mashabiki wa Chris Brown wameanza kuiangalia kupitia Youtube.
Kwenye hii video utawaona wasanii wote aliowashirikisha ambao ni Usher Raymond na Rick Ross. Enjoy kuicheki ndani ya dakika 4 na sekunde 11.
Previous
Next Post »