Enjoy kuangalia video mpya kutoka kwa Ne-Yo ft Young Jeezy

hgjhfcvhjkl
Wimbo unaitwa Money Can’t Buy ambao utakuwa kwenye album yake mpya inaitwa Non-Fiction. Ne-Yo amesema kwamba album hii  inayokuja itakuwa ni 99% RnB.
Kwasasa enjoy kuangalia video hii
Previous
Next Post »