Download Christian Bella - Ukimwona Remix Iliyotoka kwenye nyimbo ya Diamond Platnumz

“Ukiomuona” ni moja ya nyimbo kubwa Bongo Flevani ambayo ilifanywa na Diamond Platnumz, jina la Christian Bella tayari tunalo vichwani mwetu, moja ya wanamuziki toka Congo waliopo Tanzania na wanafanya vizuri sana kwenye muziki. Pata picha ya hii ladha ya melody kali ya Christian Bella kwenye wimbo wa Diamond Platnumz ! Isikilize hapa “Ukimwona Rmx” alofanya King of the Best Melodies, Christian Bella.

bell
Previous
Next Post »