JOSE CHAMELEONE ATUA BONGO, KUPAGAWISHA MAISHA CLUB


Chameleone akitoka uwanja wa ndege kuelekea kwenye gari.

…Akiwa na wenyeji wake waliofika kumpokea.


…Akitaniana na wenyeji wake..
MWANAMUZIKI kutoka nchini Uganda, Jose Chameleone, alitua Dar es Salaam jana saa mbili usiku tayari kwa kufanya shoo ya nguvu leo katika ukumbi wa New Maisha Club uliopo Masaki jijini Dar.

Akizungumza na mtandao huu muda mfupi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Chameleone alisema kuwa amekuja Bongo kuwapagawisha watu kiburudani hivyo mashabiki wake wafike kuona vitu vyake vipya.
Previous
Next Post »