Polisi wakidumisha ulinzi eneo la ajali.
LORI
lililokuwa na shehena ya mafuta lita 34,000 likitoka jijini Dar es
Salaam kuelekea mikoani limeanguka asubuhi hii eneo la Kimara Darajani,
Dar na kuziba barabara huku wananchi wakichota mafuta. Lori hilo ni mali
ya Nassor Filling Station. Jeshi la Polisi liliamua kuingilia kati
kuwatawanya wananchi hao waliokuwa wakigombea kuchota mafuta eneo la
ajali. Video ya tukio hili itawajia hivi punde!
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon