Mashabiki wa Lil Wayne, hii ni video mpya kwa ajili yenu – Krazy


weDwayne Carter ‘Lil Wayne’ ametoa video yake mpya ya wimbo wa Krazy. Location ya video hii ni wodi ya watu wenye ugonjwa wa akili na director ni Collin Tilley. Enjoy kuicheki.
Previous
Next Post »