PENZI LA DEE ANDY WA CLOUDS FM NA GODZILLZZA LA ZIDI KUSHAMILI..TAZAMA PICHA ZOA WAKI BICHI

Mtangazi wa redio clouds fm, kipindi cha XXL kwenye section ya 255, Doreen aka DEE ENDY kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM ameshare nasi picha hizi akiwa BICHI wakipunga upepo na mpezi wake GODZILLA ambae ni msanii wa bongo Flava….chukua time yako kuzitazama hapa…



Previous
Next Post »