Kim Kardashian alimpereka mtoto North West kwenda kumuangalia baba ake akiwa kazini kwenye studio ya kutengenezea music. Baada ya kufika aliwapiga picha North na Kanye,picha hiyo inaangaliwa sana na watu hivi sasa na wengi wanamsifia mtoto kuwa ni mrembo sana.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon