Selemani Mshindi maarufu kwa jina la Afande Sele amewajulisha watu
wake wa karibu na mashabiki kuhusu msiba uliomkuta kwa kufiwa na mama wa
mwanae Tunda.
Kupitia ukurasa wa facebook Afande Sele aliandika “Ndugu zangu!! Nimefiwa na mzazi mwenzangu (Asha) /mama wa wanangu (mama Tunda) ..ni pigo kubwa kwangu na wanangu. Sisi ni waja wa mwenyezi mungu na hakika kwake tutarejea; mungu ampumzishe pema.”

ConversionConversion EmoticonEmoticon