TASWIRA YA UJENZI WA BARABARA YA MABASI YAENDAYO KASI

Ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea.
Kamera yetu leo imepita maeneo mbalimbali ya Kinondoni barabara ya Kawawa, na kujionea namna ambavyo ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi unavyoendelea.
Previous
Next Post »