Waumini
wa Dini ya Kiislam wa dhehebu la Aswar Sunni kutoka maeneo mbali mbali
jijini Dar es Salaam,wakiwa wamejumuika pamoja kwenye viwanja vya
Jangwani jijini kwa swala ya Idd el Hajj mapema leo asubuhi.Waislam hawa
wanaungana na wenzao waliopo kwenye Idada ya Hija huko Makka. Waumini
wa Dini ya Kiislam wa dhehebu la Aswar Sunni kutoka maeneo mbali mbali
jijini Dar es Salaam wakisoma dua mara baada ya Swala ya Idd el Hajj
iliyoswaliwa mapema leo asubuhi kwenye viwanja vya Jangwani,jijini. Maalim akitoa Mawaidha katika swala hiyo ya Idd el Hajj katika viwanja vya Jangwani,jijini Dar es Salaam leo. Waumini wa Kiislam wakiondoka kwenye viwanja vya Jangwani,jijini Dar es Salaam mara bada ya swala ya Idd el Hajj.
This is dummy text. It is not meant to be read. Accordingly, it is difficult to figure out when to end it. But then, this is dummy text. It is not meant to be read. Period.
ConversionConversion EmoticonEmoticon