Miezi michache iliyopita sammisago.com
iliripoti tukio la mtoto wa Jackie Chan kukamatwa na Dwa za kulevya,
Jipya ni kwamba mwigizaji huyu maarufu kutoka China Jackie Chan ameomba
vyombo vya habari kuwa waangalifu na kujali wanachoandika kuhusu mtoto
wake kukamatwa na dawa hizo sababu wanaumiza familia yake na mama yake
pia.
Mtoto wa J Chan 'Jaycee Chan' alikukutwa
na dawa za kulevya aina ya bangi[Marijuana] ndani ya nyumba
yake,kitendo kilichokuwa aibu kwa Baba yake Jackie Chan ambaye alikuwa
balozi wa kupinga matumizi ya dawa za kulevya mnamo mwaka 2009.
ConversionConversion EmoticonEmoticon