BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI KILIMANJARO SIKU YA JANA

Muonekano wa basi la Dar Express lenye namba za usajili T640 AXL linalofanya safari zake Kati ya Dar na Rombo baada ya kupata ajali jana jioni eneo la Marangu, Mamba mkoani Kilimanjaro.
Wananchi wakiwa eneo la tukio muda mfupi baada ya basi la Dar Express kupata ajali.
Previous
Next Post »