HII kali! Kukamatwa na polisi kwa mfanyabiashara
bilionea jijini Dar, Mharami Mohamed Abadallah ‘Chonji’ (44)
(aliyezungushiwa duara) hivi karibuni akidaiwa kukutwa na madawa ya
kulevya ‘unga’ aina ya heroin yenye thamani ya shilingi 300,000,000
kumelitikisa Jiji la Dar, Uwazi limefuatalia hatua kwa hatua.
Mtikisiko huo umekuja kufuatia maeneo mbalimbali ya jiji kumzungumzia kwa namna mbili, wengine wakifurahia wengine wakisikitika, hasa wanawake wanaoishi maeneo ya Magomeni Kondoa, Dar ambako mfanyabiashara huyo ndiko kwenye makazi yake.
Mbali na sare kwa maana ya mavazi, pia mtuhumiwa huyo alikutwa na viatu vya jeshi hilo maarufu kwa jina la buti nazo zikiwa mpya!
Vitu vingine vilivyokutwa kwa mtuhumiwa huyo ni jiko dogo la gesi na gundi ya plastiki, vyote vinaaminiwa kutumika wakati wa kutengeneza kete za unga tayari kwa kusafirisha.
Mharami, mbali na ishu zote hizo, anadaiwa kumiliki maghorofa mawili, Tandale na Magomeni Kondoa jijini Dar, mabasi na magari manne ya kutembelea mwenyewe.
Ikazidi kudaiwa kuwa, kufuatia milio ya mabomu na risasi, baadhi ya wakazi wa eneo hilo walitoka kushuhudia wengine wakiwa na nguo za kulalia tu.
Mtikisiko huo umekuja kufuatia maeneo mbalimbali ya jiji kumzungumzia kwa namna mbili, wengine wakifurahia wengine wakisikitika, hasa wanawake wanaoishi maeneo ya Magomeni Kondoa, Dar ambako mfanyabiashara huyo ndiko kwenye makazi yake.
AKUTWA NA SARE ZA JESHI
Tukio lingine liliwatikisa polisi wenyewe kufuatia upekuzi wa kina nyumbani kwake ambapo walimkuta pia na sare mpya za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) zinazofanana kwa sehemu kubwa na zile zilizomwingiza Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwenye mzozo na jeshi hilo.
AKUTWA NA BUTITukio lingine liliwatikisa polisi wenyewe kufuatia upekuzi wa kina nyumbani kwake ambapo walimkuta pia na sare mpya za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) zinazofanana kwa sehemu kubwa na zile zilizomwingiza Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwenye mzozo na jeshi hilo.
Mbali na sare kwa maana ya mavazi, pia mtuhumiwa huyo alikutwa na viatu vya jeshi hilo maarufu kwa jina la buti nazo zikiwa mpya!
BASTOLA NAYO
Katika hali iliyowatia shaka zaidi askari ni pale Mharami alipopekuliwa zaidi na kukutwa na bastola ambayo jeshi la polisi halijaitolea ufafanuzi inaitwaje na ilitengenezwa nchi gani!
VITU VINGINEKatika hali iliyowatia shaka zaidi askari ni pale Mharami alipopekuliwa zaidi na kukutwa na bastola ambayo jeshi la polisi halijaitolea ufafanuzi inaitwaje na ilitengenezwa nchi gani!
Vitu vingine vilivyokutwa kwa mtuhumiwa huyo ni jiko dogo la gesi na gundi ya plastiki, vyote vinaaminiwa kutumika wakati wa kutengeneza kete za unga tayari kwa kusafirisha.
Mharami, mbali na ishu zote hizo, anadaiwa kumiliki maghorofa mawili, Tandale na Magomeni Kondoa jijini Dar, mabasi na magari manne ya kutembelea mwenyewe.
ALIKAMATWA KAMA KWENYE SINEMA
Mharami alikamatwa Oktoba 21, saa saba usiku nyumbani kwake, Magomeni Kondoa lakini kwa mujibu wa mashuhuda, tukio hilo linasemekana kufananishwa na inavyokuwa kwenye sinema za Kimarekani.
Inadaiwa kuwa, awali askari zaidi ya 20 kutoka Kikosi cha Kuzuia na
Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania walifika kwenye nyumba hiyo
kufuatia kutonywa kuwepo kwa unga na kumbana mtuhumiwa huyo akiwa na
wenzake wanne ndani.Ikadaiwa kuwa, mtuhumiwa na wenzake walijaribu
kutoroka walipogongewa mlango na kukataa kufungua.Mharami alikamatwa Oktoba 21, saa saba usiku nyumbani kwake, Magomeni Kondoa lakini kwa mujibu wa mashuhuda, tukio hilo linasemekana kufananishwa na inavyokuwa kwenye sinema za Kimarekani.
Chanzo hicho kiliendelea kudai kwamba baada
ya Mharami kugoma kufungua mlango polisi walilipua mabomu ya machozi na
kupiga risasi hewani ndipo alipokubali kufungua huku wenzake wakiwa
wametawanyika kwa kupanda juu ya paa la nyumba ndogo kisha kupanda
kwenye jumba la ghorofa tano ambalo analimiliki mtuhumiwa huyo.
WATU WATOKA NA NGUO ZA KULALIAIkazidi kudaiwa kuwa, kufuatia milio ya mabomu na risasi, baadhi ya wakazi wa eneo hilo walitoka kushuhudia wengine wakiwa na nguo za kulalia tu.
ALICHOSEMA MJUMBE, MTENDAJI
Mjumbe wa Nyumba Kumi Shina Na. 2, Mwanamtama Sasamalo alipohojiwa na Uwazi alikiri kutokea kwa tukio hilo la kamatakamata ya askari kwa Mharami na wenzake.Ilikuwa kama saa saba usiku, polisi walinigongea nyumbani kwangu wakasema wanataka kumkamata mhalifu, tukafuatana hadi nyumbani kwa Mharami. Niliwakuta polisi wengine wakiwa na silaha wameizingira nyumba yake, nilichokishuhudia ni ungaunga ukiwa umesambaa chini, wahusika walikamatwa na kufuatana na askari,” alisema mjumbe huyo.

Naye Afisa Mtendaji wa Serikali ya Mtaa wa
Makanya, Kata ya Ndugubi, Alex Mwisongo alipoulizwa alisema tukio hilo
lipo, akaongeza kuwa vijana wengi wamekuwa mateja katika mtaa wake na
wameathiriwa na unga ambao hajajua unakotoka.Naye Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya
Kulevya Tanzania, SACP Godfrey Nzowa alipoulizwa na waandishi wetu
ofisini kwake alisema Mharami alishawahi kukamatwa mwaka 2009 kwa
kuhusishwa na madawa ya kulevya ambapo alikuwa chini ya uangalizi wa
polisi na mahakama.
Aliwataja waliokamatwa naye safari hii kuwa
ni Rehani Mursal (45), mkazi wa Mburahati (Dar), Abdul Abdallah (37),
mkazi wa Mbezi Shamba (Dar), Tanaka Mwakasaburi (35), mkazi wa Magomeni-
Makanya (Dar) na Maliki Zuberi (29), mkazi wa Magomeni Mwembechai
(Dar).Watuhumiwa hao wote walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar,
wiki iliyopita chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi na askari
magereza mbele ya Hakimu Janeth Kaluyenda na walipelekwa mahabusu ya
Gereza la Keko, wanatarajiwa kurudi mahakamani Novemba 6, mwaka huu.Watuhumiwa hao wote walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar,

Gereza la Keko, wanatarajiwa kurudi mahakamani NovembWatuhumiwa hao wote walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar,
wiki iliyopita chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi na askari
magereza mbele ya Hakimu Janeth Kaluyenda na walipelekwa mahabusu ya
Gereza la Keko, wanatarajiwa kurudi mahakamani Novemba 6, mwaka huu.a 6, mwaka huu.
Watuhumiwa hao wote walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar,
wiki iliyopita chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi na askari
magereza mbele ya Hakimu Janeth Kaluyenda na walipelekwa mahabusu ya
Gereza la Keko, wanatarajiwa kurudi mahakamani Novemba 6, mwaka huu.
ConversionConversion EmoticonEmoticon