KABANG! Mwanadada asiyechuja kwenye muziki wa Bongo Fleva, Judith
Wambura Mbibo ‘Jide’ mwishoni mwa wiki iliyopita alibambwa ‘laivu’ kwa
mara ya kwanza katika kipindi kirefu akiwa ‘very close’ na mwanamuziki
mwenzake, Ambwene Yessaya ‘AY’ wakiteta jambo.
Wakiwa katika maongezi Jide na AY, mshereheshaji aliyekuwa akiendesha uzinduzi huo, Ephraim Kibonde aliwataka wakae mbele ikiwa ni kusaidia kuendesha shughuli ya ufunguzi wa huduma hiyo kama majaji.
Katika uzinduzi huo, waandishi na wahudhuriaji walikuwa wakishindana kuimba na kupewa zawadi kama head phones, simu aina ya Samsung Galaxy III pamoja na spika ndogo kutoka kampuni kubwa ya kutengeneza bidhaa za muziki iitwayo Beats.
Mara kwa mara wawili hao walikuwa bize wakiteta kwa sauti ya chini kwa takribani nusu saa.
Maneno yaliotumika kwenye picha ukurasa wa nyuma si halisi bali ni kama walikuwa wanasema.
Wakiwa katika maongezi Jide na AY, mshereheshaji aliyekuwa akiendesha uzinduzi huo, Ephraim Kibonde aliwataka wakae mbele ikiwa ni kusaidia kuendesha shughuli ya ufunguzi wa huduma hiyo kama majaji.
Katika uzinduzi huo, waandishi na wahudhuriaji walikuwa wakishindana kuimba na kupewa zawadi kama head phones, simu aina ya Samsung Galaxy III pamoja na spika ndogo kutoka kampuni kubwa ya kutengeneza bidhaa za muziki iitwayo Beats.
Jide alionekana kukubali wito huo wa kukaa
na AY ambapo aliamua kuwatema wenzake aliokuwa ameongozana nao hapo
ukumbini na kwenda kukaa mbele na AY, vivyo hivyo kwa AY naye aliwatema
akina Salama na mshikaji wake na kwenda mbele.
Katika hali nyingine ya kuduwaza, Jide akiwa na AY huku wakionekana
wako ‘dipu’ kwa mazungumzo kabla ya kuanza kuwajaji waimbaji, alionekana
kukolea na kinywaji alichokuwa anakunywa bila kutumia glasi (kupiga
tarumbeta) mwanzo mwisho.Mara kwa mara wawili hao walikuwa bize wakiteta kwa sauti ya chini kwa takribani nusu saa.
Maneno yaliotumika kwenye picha ukurasa wa nyuma si halisi bali ni kama walikuwa wanasema.
ConversionConversion EmoticonEmoticon