Michezo
Real Madrid wameshinda El Clásico kwenye uwanja wa Bernabeu. Barcelona wamepoteza mchezo wao wa kwanza kwenye msimu huu huku mchango wa Luis Suarez umeonekana zaidi kwenye mechi hii, Ronaldo ameongeza magoli na kuwa na magoli 21 kwenye msimu huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon