Pamekuwa na majibu tofauti kuhusu miaka halisi ya miss Tanzania, kwenye
mitandao watu wamelalamika kuwa hana miaka kumi na nane kama
ilivyoripotiwa mapema. Swali kutoka kwa Fid Q ndio hili.
"Ikiwa huyu ni Mwanaspoti na ana miaka 17 na hatujastuka sana.. Kwanini tustuke kwa binti ' Mrembo ' kuwa na 18!!?
"Ikiwa huyu ni Mwanaspoti na ana miaka 17 na hatujastuka sana.. Kwanini tustuke kwa binti ' Mrembo ' kuwa na 18!!?
ConversionConversion EmoticonEmoticon