Rapper Rick Ross ambaye ndio mmiliki wa record lebel MMG amepunguza kilo
zingine zaidi na sasa muonekano wake umabadilika sana. Mchakato wa
kupunguza kilo na kuwa na afya bora ulianza mwaka moja nyuma baada ya
Rozay kupata matatizo ya kiafya na kupoteza fahamu akiwa kwenye ndege.
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon