Picha,Kama Kawaida Ya Fabolous Kutambulisha Swagga Mpya Kwenye Hiphop,Hili Jipya Mwaka Huu

Rapper Fabolous anafahamika kwa kutambulisha swagga mpya kwenye hiphop haswa kwenye mavazi,kama unakumbuka alivyovaa kwenye wimbo wa 'Trade It All' na zile jezi zikavaliwa dunia nzima kwa miaka miwili sasa ametuonyesha kiatu chake aina ya Timberlands kutoka [ Christian Louboutin] cheusi chenye nchi 6 kimabadilishwa soli na kuwa nyekundu.
Timberland halisi haijawahi kuwa na soli nyekundu ila baada ya muda tu utaona vijana wapenda mitindo wakibadilisha soli za Timberland zao.
Previous
Next Post »