Rapper Young Killer ametoa video mpyaya wimbo wake Umebadilika aliomshirikkisha Banana Zoro. Youn Killer anasema hii ndio video yake bora kuliko zote alizowahi kufanya, Kama Hufahamu Young Killer ameshawahi kutoa kazi 5 ambazo ni Mrs SuperStar ,Dear Gambe,Jana Na Leo, My Power. Umebadilika ni wimbo uliofanywa na Combination Sound studio ya Man Water.
Video ameongoza na kurekodi Hefemi.
ConversionConversion EmoticonEmoticon