Amekuwa kwenye vichwa vya habari hivi
karibuni baada ya kusema haitaji msaada wa record lebel kusimama
kimuziki a baadae akaweza kutoa album yake mpya.Hivi karibuni Ashanti alikuwa kwenye kipindi cha television cha The View huku muonekano wake ukiwa gumzo zaidi.


ConversionConversion EmoticonEmoticon