Klabu ya La Liga ya Real Sociedad
imemfukuza kazi kocha wao Jagoba Arrasate jumapili iliyopita baada ya
kushinda mchezo mmoja tu ndani ya michezo kumi.
Aliyekuwa kocha wa Manchester United
David Moyes ndiye amehusishwa na kuchukua mikoba ya kocha huyu. Arrasate
ameshindwa kushinda michezo yote ya mwezi September na October.
Aliyekuwa kocha wa Manchester United
David Moyes ndiye amehusishwa na kuchukua mikoba ya kocha huyu. Arrasate
ameshindwa kushinda michezo yote ya mwezi September na October. 
ConversionConversion EmoticonEmoticon