Baada Ya Miezi Sita,Rihanna Ameungana Tena Na Mashabiki Wake Wanaotumia Instagram.

Baada ya miezi sita ya Rihanna ameungana tena na mashabiki wake wanaotumia mtandao wa Instagram.

Rihanna mwenye watu wanaomfuatilia instagram milioni 13amerudi instagram na kuweka picha yake ikiwa na ujumbe wa“Hellurrr #badgalback.”
Kurasa yake ilifungwa May 2014 baada ya kuweka picha zake akiwa kifua wazi zilizopigwa kwaajili ya jarida la ufarasa la Lui.Rihanna anatumia @badgalriri
 
Previous
Next Post »