Diamond akiwa na zali lingine baada ya kuachwa na Wema mchekiiiiii.........!!!

Baada ya kusafiri kwenye ndege pamoja wakielekea Dar es salaam, Diamond Na Zari The Boss Lady walipanga kukutana wakiwa Dar.

Hizi picha za Diamond na Zari wakiwa maeneo ya hoteli ya Double Tree hapa Dar es salaam. Picha zinaonyesha ukaribu zaidi wa Diamond na Zari, kama marafiki au zaidi.

Mashabiki wa Diamond wameanza kuona mapenzi kati ya hawa wawili kupitia picha hizi na walivyokuwa karibu kwenye ndege.

ConversionConversion EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng