
Hii itakuwa album ya kwanza ya Fergie baada ya miaka nane, wasanii wengine walioshirikishwa ni Mike WiLL Made-It, Rae Sremmurd na Will.I.Am, Wimbo uliotoka mpaka sasa ni L. A Love na ameshirikishwa rapper YG na kwa mara ya kwanza atafanya show na wimbo huo kwenye tuzo za muziki za Marekani zitakazofanyika November 23.
Kuhsu vipaji vipya kwenye muziki kama Nicki Minaj na Iggy Azalea Fergie amesema "Sioni kama ni washindani wangu hawa wasanii kwani kila mtu ana watu wake,hakuna ushindani hapo"
ConversionConversion EmoticonEmoticon