Baada ya kufunga ndoa na Bilionaire
kutoka nchini Qatar 'Wissam Al Mana, Janet Jackson alipotea kabisa
kwenye mambo ya muziki na kwenye mambo ya burudani. Hivi karibuni watu
waliomiss sana walimuona pale alipohudhuria Vogue Fashion Dubai
Experience, ikiwa ni mara ya kwanza anaonekana hadharani baada ya mwaka
mmoja.
Janet mwenye miaka 48 aliongea mwaka jana kuhusu muziki na kusema anamipango ya kufanya nyimbo kadha ila anataka ziwe na ubunifu tofauti ni kilichoko sasa kwenye tasnia ya muziki.
Janet mwenye miaka 48 aliongea mwaka jana kuhusu muziki na kusema anamipango ya kufanya nyimbo kadha ila anataka ziwe na ubunifu tofauti ni kilichoko sasa kwenye tasnia ya muziki.

ConversionConversion EmoticonEmoticon