Rapper Tyga ambaye hivi karibuni alisema
kuwa hampendi rapper mwenzake wa Young Money 'Drake' amezidi kuonyesha
kuwa hana mpango wa kuwa mshkaji wake baada ya kumchukua aliyekuwa
mpenzi wa Drake 'Dollicia Bryan' nakufanya naye video.
Hivi karibuni Drake amekuwa akitumiana message mitandaoni na mama mtoto wa Tyga Blac Chyna. Inasemekana Tyga alimwambia Dollicia kuwa nakutumia wewe kwenye video ili Drake akasirike.
ConversionConversion EmoticonEmoticon