Sikiliza Hapa Wimbo Mpya Wa Avril-Nikimuona Ni bonge la ngoma.......!!!!!!! usikose kusikiliza

Avril navunja ukimya leo kwa kutoa wimbo mpya alioupa jina 'Nikimuona' Wimbo huu unatoka 03/10/2014, utaanza kusikika Kenya na baadae kusambazwa Africa Mashariki.Nyimbo za Avril za awali ni pamoja na Mama, Kitu Kimoja na Chokoza.
Previous
Next Post »