Picha,Nje Ya Chumba Cha Diamond Na Zari,Ulinzi Ulikuwa Hivi.

askari
Hawa askari tuliwaona wakati Diamond Platnumz amewasili Uganda na kupokelewa Airport kwa mbwembwe sana.
askari 2 askari 5
Kumbe ulinzi wao uliendelea mpaka siku ya sho ambapo mmoja wao aliwekwa Nje ya chumba cha Diamond na Zari. Ni Mlinzi kutoka jeshi la Uganda akilinda usalama Wa @diamondplatnumz na @zarithebosslady  Hii picha akiwa nje ya chumba akiwasubiri wakati wakijiandaa.
Previous
Next Post »