https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=3735096661971460157#editor/target=post;postID=6796829582642729183Rihanna aka Bad Girl Ri Ri ameingia mkataba na kampuni ya kutengeneza
vifaa vya michezo ya Puma kuwa Balozi wa bidha zao za wanawake na
kusimamia maswala ya ubunifu wa bidha hizo.
Rihanna ametumia instagram yake kutupa taarifa kuwa kwa sasa yeye ni Puma’s Creative Director Na Brand Ambassador na kwamba atakuwepo kwenye tangazo lao jipya ya mwaka 2015.
Rihanna ameingia kwenye orodha ya wasanii wa Rap na R&B
wanaojihusisha na ubalozi wa bidha kubwa za kampuni za viatu kama Kanye
West ambaye yuko na adidas, Kendrick Lamar ambaye yuko na Reebok na Meek
Mill ambaye yuko na Puma.
ConversionConversion EmoticonEmoticon